![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/12/K%25C4%25B1rklareli_districts.png/640px-K%25C4%25B1rklareli_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Kırklareli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kırklareli ni jina la mkoa uliopo mjini kaskaini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi. Mkoa umepakana vilivyo na mapaka wa nchi ya Bulgaria kiasi cha kilomita 180 kutoka mkoani hapa. Unapaka na mkoa wa Edirne kwa upande wa magahribi na Tekirdağ kwa upande wa kusini na Istanbul kwa upande wa kusini-mashariki ya nchi. Kırklareli ndiyo mji wake mkuu wa mkoa huu.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Kırklareli nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kırklareli nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 6,550 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 326,950 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 39 |
Kodi ya eneo: | 0288 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kırklareli.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kırklareli |
Funga