Kırklareli
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kırklareli ni mji mkuu wa Jimbo la Kırklareli mjini Thrace ya Mashariki, katika sehemu ya Ulaya huko Uturuki. Mji una wakazi wapatao 66,000, kwa mujibu wa sensa walizofanya mnamo mwaka wa 2000. Mji upo katika kimo cha mita 203O kutoka juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kırklareli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.