Mkoa wa Ituri
jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Ituri ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,241,236. Mji mkuu ni Bunia.
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Ituri | |
Mahali pa Mkoa wa Ituri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 01°34′N 30°15′E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Bunia |
Serikali | |
- Gouverneur | Emmanuel Leku Apuobo |
Eneo | |
- Jumla | 65,658 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,241,236 |
Funga