Mkoa wa Eskişehir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eskişehir (inatafsiriwa kama: mji wa kale) ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopatikana na mkoa huu ni pamoja na Bilecik kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kütahya kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kusini-magharibi, Konya kwa upande wa kusini, Ankara kwa upande wa mashariki, na Bolu kwa upande kaskazini. Mji mkuu wake ni Eskişehir.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/15/Eski%C5%9Fehir_city_collage.png/220px-Eski%C5%9Fehir_city_collage.png)
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Eskişehir nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Eskişehir nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 13,652 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 741,739 (2008) TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 26 |
Kodi ya eneo: | 0222 |
Tovuti ya Gavana | http://www.eskişehir.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/eskişehir |
Funga