![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/10/Ankara_districts.png/640px-Ankara_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Ankara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Ankara (Kituruki: Ankara ili) ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki, ambao pia ni mji mkuu wa nchi (Ankara).
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Ankara nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Ankara nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 25,706 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 5,017,914 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 06 |
Kodi ya eneo: | 0312 |
Tovuti ya Gavana | http://www.ankara.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/ankara |
Funga