From Wikipedia, the free encyclopedia
Mena wa Misri (pia: Menna, Menas, Minas, Mina; Nikiou, 285-309 hivi) alikuwa askari Mkristo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake karibu na ziwa Maryut[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Novemba[2].
Jinsi alivyoheshimika kutokana na miujiza iliyofanyika kwenye kaburi lake, juu yake umeanzishwa mji (Karm Abu Mina) ulioorodheshwa na UNESCO kama urithi wa dunia.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.