![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/a/a8/MdundoCover.jpg/640px-MdundoCover.jpg&w=640&q=50)
Mdundo
From Wikipedia, the free encyclopedia
'Mdundo' ni wimbo uliotoka 9 Septemba 2017 ambao umetungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Msami. Wimbo umetayarishwa na Abby Daddy. Video imeongozwa na Joowzey. Kama kawaida yake Msami kwenye kudansi, humu kafanya balaa tupu katika kucheza, hasa ukizingatia yeye ni mwalimu wa kudansi wa Tanzania House of Talent.[2][3]
Ukweli wa haraka Single ya Msami, Imetolewa ...
“Mdundo” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() Kasha la Mdundo | |||||
Single ya Msami | |||||
Imetolewa | 9 Septemba, 2017 | ||||
Muundo | Upakuzi wa mtandaoni | ||||
Imerekodiwa | 2017 | ||||
Aina | Bongo Flava, singeli [1], mduara | ||||
Urefu | 3:13 | ||||
Mtunzi | Msami | ||||
Mtayarishaji | Abby Daddy | ||||
Mwenendo wa single za Msami | |||||
|
Funga