Matrona wa Thesalonike
Mtakatifu wa Katoliki / From Wikipedia, the free encyclopedia
Matrona wa Thesalonike (pia: Matronya, Matruna, Madrona) alikuwa mwanamke Mkristo wa Thesalonike (Ugiriki)[1] aliyefia dini yake[2][3] katika karne ya 3 au ya 4 baada ya kuteswa na tajiri wake, mwanamke Myahudi, aliyemkuta anamuomba Kristo kwa siri. Hatimaye alimkabidhi Yesu roho yake.
Ukweli wa haraka Jinsia, Jina halisi ...
Matronya
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Jina halisi | Matrona |
Tarehe ya Kuzaliwa | 3. century |
Mahali alipozaliwa | Thesalonike |
Tarehe ya kifo | 300 |
Mahali alipofariki | Thesalonike |
Dini | Waorthodoksi |
Canonization status | Mtakatifu, Catholic saint |
Feast day | 27 Machi |
Funga
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Machi[4], lakini pia 15 Machi, 27 Machi[5][6] au 20 Septemba.