From Wikipedia, the free encyclopedia
Marvel Cinematic Universe (MCU) ni muunganiko wa vyombo vya habari vya Marekani unaosimamia mfululizo wa filamu za mashujaa zilizotengenezwa na Marvel Studios. Filamu hizo zinatokana na wahusika wanaoonekana katika vitabu vya comic vya Marekani vilivyochapishwa na Marvel Comics. Muunganiko huu pia inajumuisha mfululizo wa tamthilia, filamu fupi, mfululizo wa dijiti, na fasihi. Ulimwengu wa kufikirika, kama ulimwengu wa Marvel wa awali katika vitabu vya comics, ulianzishwa kwa uunganishwaji wa vitu mbalimbali na vipengele vya kawaida vya njama, mipangilio, waigizaji, na wahusika.[1]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.