![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/74/Eastern_Green_Mamba_02.jpg/640px-Eastern_Green_Mamba_02.jpg&w=640&q=50)
Hongo (nyoka)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hongo, futa au koboko (kwa Kiing. mamba) ni nyoka wenye sumu wa jenasi Dendroaspis katika nusufamilia Elapinae (familia Elapidae). Spishi zote zinatokea Afrika tu.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Hongo | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Hongo mashariki | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Spishi 4:
| ||||||||||||||||||
Funga
Nyoka hawa huishi mitini, lakini futa hukaa chini. Huwinda wakati wa mchana na kukamata mamalia wadogo, ndege na mijusi. Hawa ni hatari sana kwa sababu sumu yao ni kali sana. Kuna liga za neva na za moyo ndani yake. Sumu ya futa ni kali zaidi kuliko ile ya spishi nyingine. Kwa hivyo nyoka huyu ni mgomvi zaidi. Sumu yake inaweza kuua mtu mzima ndani ya nusu saa.