Malaika walinziFrom Wikipedia, the free encyclopedia Malaika walinzi ni malaika wanaosadikiwa kuwa wametumwa na Mungu kulinda binadamu mmojammoja au katika makundi madogo na makubwa[1]. Picha takatifu ya malaika mlinzi kutoka Urusi. Malaika mlinzi alivyochorwa na Pietro da Cortona, 1656. Katika liturujia, kumbukumbu yao inafanyika kila mwaka tarehe 2 Oktoba[2].
Malaika walinzi ni malaika wanaosadikiwa kuwa wametumwa na Mungu kulinda binadamu mmojammoja au katika makundi madogo na makubwa[1]. Picha takatifu ya malaika mlinzi kutoka Urusi. Malaika mlinzi alivyochorwa na Pietro da Cortona, 1656. Katika liturujia, kumbukumbu yao inafanyika kila mwaka tarehe 2 Oktoba[2].