Deutsche Lufthansa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Deutsche Lufthansa ni shirika ya ndege kubwa zaidi kwenye bara Ulaya, kulingana na jumla ya wasafiriwa inabeba. Ni ndege kuu nchini Ujerumani. Jina la kampuni hili linatokana na Luft (neno la Kijerumani linalomaanisha "hewa") na Hansa (baada ya "Hanse" iliyokuwa ushirikiano mashuhuri wa wafanyabiashara thabiti).
| ||||
Kimeanzishwa | 1926 (as Deutsche Luft Hansa Aktiengesellschaft), refounded 1954 | |||
---|---|---|---|---|
Vituo vikuu | Frankfurt Munich, Düsseldorf [1] | |||
Programu kwa wateja wa mara kwa mara | Miles & More | |||
Member lounge | HON / Senator Lounge | |||
Muungano | Star Alliance | |||
Subsidiaries | Lufthansa Cargo, Lufthansa CityLine, Lufthansa Italia, Lufthansa Regional, Lufthansa Technik | |||
Ndege zake | 274 (+ 73 orders) excl. subsidiaries
746 (+ 156 orders) inc. subsidiaries excl. shares | |||
Shabaha | 202 | |||
Nembo | There's no better way to fly | |||
Makao makuu | Lufthansa Aviation Center Airportring, Frankfurt am Main, Hesse, Ujerumani[2] | |||
Watu wakuu |
| |||
Mapato | €24.9 billion
(US$33.9 billion) | |||
Tovuti | www.lufthansa.com |
Ofisi kuu ipo mjini Cologne, na makao makuu ya ndege zake ni kwenye uwanja wa ndege wa Frankfurt am Main, na makao yake mingine ni uwanja wa ndege wa Munich.[3][4]
Lufthansa ndio mwanachama mwanzishi wa Star Alliance. Star Alliance ilianzishwa mnamo 1997 pamoja na Thai Airways, United Airlines, Air Canada, na Scandinavian Airlines. Lufthansa inahudumu zaidi ya ndege 500 na imewaajiri watu 105,261 kote duniani (31 Desemba 2007). Mnamo 2008, wasafiriwa milioni 70.5 walisafiria kwa kutumia Lufthansa.