Lodoviko Pavoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lodoviko Pavoni (11 Septemba 1784 ā 1 Aprili 1849) alikuwa padri Mkatoliki wa Brescia (Italia Kaskazini)[1] aliyeanzisha shirika la Wana wa Maria Imakulata ili kumsaidia kulea wavulana fukara kwa kuwafundisha maadili na ufundi[2][3].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Aprili 2002, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Oktoba 2016.