From Wikipedia, the free encyclopedia
Montero Lamar Hill (maarufu kama Lil Nas X; alizaliwa 9 Aprili 1999) ni mwanamuziki wa Hip hop wa nchini Marekani na pia ni mwandishi wa nyimbo.
Lil Nas X | |
---|---|
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019 | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Montero Lamar Hill |
Amezaliwa | Aprili 9 1999 |
Asili yake | Marekani |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki |
Ala | sauti |
Miaka ya kazi | 2015-hadi leo |
Studio | Columbia |
Tovuti | lilnasx.com |
Alijulikana kimataifa baada ya kutoa kibao chake alichokiita Old Town Road ambacho kilipata umaarufu mkubwa sana katika mitandao mnamo mwaka 2019. Wimbo huo ulishika namba moja nchini marekani katika Billboard Hot 100 na kuwa katika nafasi hiyo ndani ya wiki kumi na tisa, na ndio wimbo pekee ambao umeweza kufanya hivyo tangu kuanzishwa kwa orodha hiyo ya nyimbo kali mnamo mwaka 1958. Pia Nas X, alichaguliwa katika tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya Grammy Awards ambapo alichaguliwa katika vipengele vya Wimbo bora wa mwaka, Albamu bora ya mwaka na pia kama Msanii bora chipukizi.
Mnamo Juni 2019, Lil Nas X alijitangaza kuwa shoga na ni msanii wa kwanza ambaye kashikilia namba moja katika orodha ya nyimbo bora kufanya hivyo. Nyimbo ya "Old Town Road" imeweza kumpatia tuzo kutok katika MTV Video Music Awards ikiwemo tuzo ya wimbo bora wa mwaka na ni msanii pekee mbaye ni shoga kushinda tuzo ya Cross country association na ni kwa sababu tu ya wimbo wake.
Albamu | Maelezo | Nafasi iliyoshika | Mauzo | Matunukio | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Marekani [1] |
Australia [2] |
Austria [3] |
Canada [4] |
Denmark [5] |
Ufaransa [6] |
Ireland [7] |
New Zealand [8] |
Sweden [9] |
Uingereza [10] | ||||
7 |
|
2 | 5 | 72 | 1 | 9 | 15 | 11 | 5 | 10 | 23 |
|
|
Nyimbo | Mwaka | Nafasi iliyoshika | Mauzo | Matunukio | Albamu | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Marekani [12][13] |
Marekani R&B /HH [14] |
Australia [15] |
Canada [16] |
Denmark |
Ireland [17] |
Norway [18] |
New Zealand [19] |
Sweden [20] |
Uingereza [10] | |||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) |
2018 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 2 | 1 |
|
7 | |
"Panini" | 2019 | 5 | 2 | 15 | 8 | 28 [27] | 18 | 26 | 14 [28] | 42 | 21 |
Tuzo | Mwaka | Anayetuzwa/Kinachotuzwa | Aina ya Tuzo | Matokeo | Marejeo |
---|---|---|---|---|---|
American Music Awards | 2019 | Mwenyewe | New Artist of the Year | Aliteuliwa | [32] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Collaboration of the Year | Aliteuliwa | |||
Favorite Song — Rap/Hip-Hop | Ameshinda | ||||
Video of the Year | Aliteuliwa | ||||
Favorite Song — Pop/Rock | Aliteuliwa | ||||
Apple Music Awards | 2019 | "Old Town Road" | Song of the Year | Ameshinda | [33] |
BBC Radio 1's Teen Awards | 2019 | "Old Town Road" | Best Single | Aliteuliwa | [34] |
BET Hip Hop Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Hip Hop Artist | Aliteuliwa | [35] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Single of the Year | Ameshinda | |||
Best Collab, Duo or Group | Ameshinda | ||||
Bravo Otto | 2019 | Mwenyewe | Newcomer | - | [36] |
BreakTudo Awards | 2019 | Mwenyewe | International Male Artist | Aliteuliwa | [37] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | International Hit of the Year | Aliteuliwa | |||
Country Music Association Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Musical Event of the Year | Ameshinda | [38] |
Danish Music Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Foreign Song of the Year | Aliteuliwa | [39] |
Grammy Awards | 2020 | Mwenyewe | Best New Artist | Aliteuliwa | [40] |
"Panini" | Best Rap/Sung Performance | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Record of the Year | Aliteuliwa | |||
Best Pop Duo/Group Performance | Ameshinda | ||||
Best Music Video | Ameshinda | ||||
7 | Album of the Year | Aliteuliwa | |||
iHeartRadio Music Awards | 2020 | "Old Town Road" | Song of the Year | - | |
Hip-Hop Song of the Year | - | ||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Music Video | - | |||
Best Remix | - | ||||
Mwenyewe | Best New Pop Artist | - | |||
Best New Hip-Hop Artist | - | ||||
LOS40 Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best International New Artist | Aliteuliwa | [41] |
MTV Europe Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Act | Aliteuliwa | [42] |
Best Look | Aliteuliwa | ||||
Best US Act | Aliteuliwa | ||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Song | Aliteuliwa | |||
Best Video | Aliteuliwa | ||||
Best Collaboration | Aliteuliwa | ||||
MTV Video Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Artist | Aliteuliwa | [43] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Video of the Year | Aliteuliwa | |||
Song of the Year | Ameshinda | ||||
Best Collaboration | Aliteuliwa | ||||
Best Hip-Hop Video | Aliteuliwa | ||||
Song of Summer | Aliteuliwa | ||||
Best Direction | Ameshinda | ||||
Best Editing | Aliteuliwa | ||||
Best Art Direction | Aliteuliwa | ||||
MTV Video Play Awards[44][45][46][47] | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Winning Video | Ameshinda | [48] |
NRJ Music Awards | 2019 | Mwenyewe | International Breakthrough of the Year | Aliteuliwa | [49] |
Lil Nas X na Billy Ray Cyrus | International Duo/Group of the Year | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | International Song of the Year | Aliteuliwa | |||
Video of the Year | Aliteuliwa | ||||
People's Choice Awards | 2019 | Mwenyewe | Male Artist of 2019 | Aliteuliwa | [50] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Song of 2019 | Aliteuliwa | |||
Streamy Awards | 2019 | Mwenyewe | Breakthrough Artist | Ameshinda | [51] |
Swiss Music Awards | 2020 | "Old Town Road" | Best International Hit | - | [52] |
Teen Choice Awards | 2019 | Mwenyewe | Choice Male Artist | Aliteuliwa | [53] |
Choice Breakout Artist | Aliteuliwa | ||||
"Old Town Road" | Choice Song: Male Artist | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Choice Collaboration | Aliteuliwa | |||
Choice Song: R&B/Hip-Hop | Ameshinda | ||||
UK Music Video Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Urban Video – International | Aliteuliwa | [54] |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.