Kwolu (kutoka Kiing.: quoll, Kisayansi: Dasyurus) ni wanyama ya Marsupialia wafananao na paka wa Australia na Tasmania mwenye madoa meupe.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kwolu |
Kwolu madoa (Dasyurus maculatus) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Ngeli ya chini: |
Marsupialia (Wanyama wanaobeba watoto wao ndani ya pochi ya ngozi))
|
Oda: |
Dasyuromorphia (Wanyama kama kwolu)
|
Familia: |
Dasyuridae (Wanyama walio na mnasaba na kwolu)
|
Nusufamilia: |
Dasyurinae (Wanyama wanaofanana na kwolu)
|
Jenasi: |
Dasyurus É.Geoffroy, 1796 |
|
Ngazi za chini |
Spishi 6:
- D. albopunctatus Schlegel, 1880
- D. geoffroii Gould, 1841
- D. hallucatus Gould, 1842
- D. maculatus Kerr, 1792
- D. spartacus Van Dyck, 1987
- D. viverrinus Shaw, 1800
|
Funga