KutabarukuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kutabaruku (kutoka mzizi wa Kiarabu unaokazia neno la kubariki) ni tendo la kuweka wakfu kwa Mungu altare, hekalu, kanisa au jengo lingine la kidini.[1] Kumbukumbu kwa Kilatini ya kutabaruku kwa kanisa la abasia ya Prüfening, Ujerumani.
Kutabaruku (kutoka mzizi wa Kiarabu unaokazia neno la kubariki) ni tendo la kuweka wakfu kwa Mungu altare, hekalu, kanisa au jengo lingine la kidini.[1] Kumbukumbu kwa Kilatini ya kutabaruku kwa kanisa la abasia ya Prüfening, Ujerumani.