Kucha-bukini ni ndege wadogo wa familia Bernieridae. Wanafanana na kucha na zamani waliainishwa katika familia kadhaa kama Pycnonotidae, Sylviidae na Timaliidae. Wana rangi ya majani au ya zaituni juu na nyeupe, njano na/au rangi ya machungwa chini. Wanatokea Madagascar tu katika misitu ya mvua au savana kavu. Hula wadudu.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kucha-bukini |
Kucha-bukini domo-refu |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
Oda: |
Passeriformes (Ndege kama shomoro)
|
Familia ya juu: |
Sylvioidea (Ndege kama kucha)
|
Familia: |
Bernieridae (Ndege walio na mnasaba na kucha-bukini) Cibois, David, Gregory & Pasquet, 2010 |
|
Ngazi za chini |
Jenasi 8, spishi 11:
- Bernieria Bonaparte, 1854
- B. madagascariensis [[Jacques Pucheran}Pucheran]], 1855
- Crossleyia Hartlaub, 1877
- C. xanthophrys (Sharpe, 1875)
- Cryptosylvicola Goodman, Lagrand & B.M. Whitney, 1996
- C. randrianasoloi Goodman, Lagrand & Whitney, 1996
- Hartertula Stresemann, 1925
- H. flavoviridis (Hartert, 1924)
- Oxylabes Sharpe, 1870
- O. madagascariensis (Gmelin, 1789)
- Randia Delacour & Berlioz, 1931
- R. pseudozosterops Delacour & Berlioz, 1931
- Thamnornis Milne-Edwards & A. Grandidier, 1882
- T. chloropetoides (Grandidier, 1867)
- Xanthomixis Sharpe, 1881
- X. apperti (Colston, 1972)
- X. cinereiceps (Sharpe, 1881)
- X. tenebrosai Stresemann, 1925
- X. zosterops Sharpe, 1875
|
Funga