![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/16/Archilochus-alexandri-002-edit.jpg/640px-Archilochus-alexandri-002-edit.jpg&w=640&q=50)
Kolibri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kolibri (kutoka Kitaino: kolibrÃ, kupitia Kijerumani: kolibri) ni ndege wadogo wazuri wa familia Trochilidae ambao wanatokea Amerika tu. Wako miongoni mwa ndege wadogo kabisa. Wengi wana urefu kati ya sm 7.5 na 13, lakini ndege mdogo kabisa duniani, kolibri-nyuki, ana urefu wa sm 5 tu. Ndege hawa wanaweza kuangama hewani wakipapatika mabawa yao mara 12-80 kwa sekunde. Hii inatoa sauti ya uvumi (Kiing. "humming", kwa hivyo jina lao la hummingbird).
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kolibri | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Kolibri kidevu-cheusi, Archilochus alexandri | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusufamilia 2:
| ||||||||||||||
Funga