ajenga ingawa Hana mikono From Wikipedia, the free encyclopedia
Vitendawili ni semi zilizofumbwa ambazo hutolewa kwa hadhira ili zifumbuliwe. Jina linasema kuna pande mbili zinazotenda: anayeuliza na anayeulizwa, ama maneno yalivyo na maana yake ya fumbo.
Fumbo hilo huwa lina mawazo au mafunzo muhimu kwa washiriki na kuchemsha au kufikirisha akili zao.
Vitendawili hufikirisha na kufanya watu wavihusishe na hali halisi ya maisha na vitu au matukio mbalimbali katika mazingira yao na dunia kwa ujumla.
Mifano ya vitendawili ni:
Vitendawili vina utaratibu maalumu vya kuvianza. Mfano:
Mwingine:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vitendawili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.