Dirisha
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dirisha (kutoka neno la Kiajemi; kwa Kiingereza: window) ni nafasi wazi katika ukuta au paa la jengo, katika gari n.k. Lengo lake ni kuruhusu hewa na mwanga viingie, pia watu waweze kuona nje kwa njia yake.
Kunaweza kuwa na maumbo na ukubwa tofauti, ikiwa ni pamoja na mstatili, mraba, mviringo, au maumbo ya kawaida.
Kwa kawaida hujazwa na kioo ili kuzuia baridi na mavumbi kuingia. Baadhi ya madirisha yana kioo cha rangi, hasa mahali pa ibada.
Kabla ya kioo kilichotumiwa madirisha, watu wa Asia walitumia karatasi kujaza shimo kwenye ukuta. Karatasi ingeacha mwanga.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dirisha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.