Vipanya-miiba ni wanyama wagugunaji wa jenasi Acomys katika nusufamilia Deomyinae ya familia Muridae walio na manyoya magumu kama miiba. Wanatokea katika Afrika na Mashariki ya Kati kwenye majangwa na maeneo mengine makavu, pengine misitu mikavu na mara nyingi maeneo yenye mawe na miamba.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kipanya-miiba |
Kipanya-miiba wa Rasi (Acomys subspinosus) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda: |
Rodentia (Wanyama wagugunaji)
|
Nusuoda: |
Myomorpha (Wanyama kama panya)
|
Familia: |
Muridae (Wanyama walio na mnasaba na panya)
|
Nusufamilia: |
Deomyinae (Wanyama wanaofanan na vipanya-miiba)
|
Jenasi: |
Acomys I.Geoffroy, 1838 |
|
Ngazi za chini |
Spishi 21:
- A. airensis Thomas & Hinton, 1921
- A. cahirinus É.Geoffroy, 1803
- A. chudeaui Kollman, 1911
- A. cilicicus Spitzenberger, 1978
- A. cineraceus Heuglin, 1877
- A. dimidiatus Cretzschmar, 1826
- A. ignitus Dollman, 1910
- A. johannis Thomas, 1912
- A. kempi Dollman, 1911
- A. louisae Thomas, 1896
- A. minous (Bate, 1906)
- A. mullah Thomas, 1904
- A. muzei Verheyen et al., 2012
- A. nesiotes Bate, 1903
- A. ngurui Verheyen et al., 2012
- A. percivali Dollman, 1911
- A. russatus (Wagner, 1840)
- A. seurati Heim de Balsac, 1936
- A. spinosissimus Peters, 1852
- A. subspinosus (Waterhouse, 1837)
- A. wilsoni Thomas, 1892
|
Funga