Kiko (kifaa)From Wikipedia, the free encyclopedia Kiko (pia: toza au mtemba) ni chombo kinachomwezesha mtu kuvuta moshi wa tumbaku, bangi au bidhaa nyingine za uraibu zinazovutwa kama sigara. Kiko huwa na digali au mrija uliounganika na kijibakuli. Viko tofautitofauti.
Kiko (pia: toza au mtemba) ni chombo kinachomwezesha mtu kuvuta moshi wa tumbaku, bangi au bidhaa nyingine za uraibu zinazovutwa kama sigara. Kiko huwa na digali au mrija uliounganika na kijibakuli. Viko tofautitofauti.