MrijaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mrija ni bomba jembamba linalopatikana mwilini au linalotengenezwa na binadamu. Mrija katika kinywaji. Kazi yake ni kupitisha au kufyonza hewa au kiowevu. Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.omh
Mrija ni bomba jembamba linalopatikana mwilini au linalotengenezwa na binadamu. Mrija katika kinywaji. Kazi yake ni kupitisha au kufyonza hewa au kiowevu. Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.omh