Kigadjerawang
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigadjerawang (pia Kigajirrabeng) ni lugha ya Kijarrakan nchini Australia inayozungumzwa na Wagadjerawang katika majimbo ya Australia Magharibi na [[Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kigadjerawang wawili tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kimiriwung.