Kimiriwung
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimiriwung (au Kimiriwoong) ni lugha ya Kijarrakan nchini Australia inayozungumzwa na Wamiriwung katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimiriwung 210, na lugha imo hatarini mwa kutoweka.