familia ndogo ya lugha za asili za Australia From Wikipedia, the free encyclopedia
Lugha za Kijarrakan (au Kidjeragan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha tatu tu ambazo zilikuwa zinazungumzwa katika majimbo ya Australia Magharibi na Northern Territory: Kigadjerawang, Kikitja na Kimiriwung. Lugha hizo zote zimo hatarini mwa kutoweka.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kijarrakan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.