From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiapo (kutoka kitenzi kuapa; kwa Kiingereza: oath) ni tamko la nguvu kuhusu ukweli ama wa ushahidi ama wa ahadi uliotolewa au utakayotolewa.
Mara nyingi kinatolewa kwa msingi wa dini ya mhusika ili ajifunge au ajisikie amebanwa zaidi.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiapo kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.