From Wikipedia, the free encyclopedia
Ahadi ni hali ya kuaminisha au kumuaminishia mtu au watu juu ya jambo fulani ambalo unatarajia kulitimiza na kulitekeleza kwa mtu au watu.
Kwa mfano, ahadi yaweza kutolewa kama zawadi, shukrani na hata pongezi kwa mtu fulani.
Msemo muhimu unafundisha kwamba "Ahadi ni deni". Hata hivyo mara nyingi ahadi ni za uongo au hazitimizwi kwa wakati uliopangwa.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ahadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.