![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c5/Khadija_Shaw.jpg/640px-Khadija_Shaw.jpg&w=640&q=50)
Khadija Shaw
Mchezaji wa mpira wa chama cha Jamaica / From Wikipedia, the free encyclopedia
Khadija Monifa "Bunny" Shaw (alizaliwa 31 Januari 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Jamaika anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Wanawake ya Manchester City na nahodha wa timu ya taifa ya Jamaika.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c5/Khadija_Shaw.jpg/640px-Khadija_Shaw.jpg)
Anashikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Manchester City,na ndie mfungaji bora wa muda wote wa Jamaica kwa wanawake na wanaume, anashikilia rekodi ya hat trick nyingi zaidi katika WSL,[2] na alitunukiwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa CONCACAF mnamo 2022.[3]