![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/cf/DOH30025_200m_men_heats_%252848910430033%2529_%2528cropped%2529.jpg/640px-DOH30025_200m_men_heats_%252848910430033%2529_%2528cropped%2529.jpg&w=640&q=50)
Kenny Bednarek
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kenneth Bednarek (alizaliwa 14 Oktoba 1998) ni mwanariadha wa Marekani kutoka Rice Lake, Wisconsin.
![Bednarek kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia ya 2019](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/cf/DOH30025_200m_men_heats_%2848910430033%29_%28cropped%29.jpg/320px-DOH30025_200m_men_heats_%2848910430033%29_%28cropped%29.jpg)
Tarehe 4 Agosti 2021, alishinda medali ya fedha kwa mbio za mita 200 katika mchezo wa Olimpiki msimu wa joto jijini Tokyo 2020[1]. Rekodi yake bora alitumia dakika 19.68. Mnamo 2 Agosti 2021 alitumia muda wa dakika 20.01 katika mchuano robo wa mita 200 katika Olimpiki ya msimu wa joto jijini Tokyo[2]. Alifanikiwa kuingia mchuano wa mwisho kwa mda wa dakika 19.83[3] alioupata.