Katarina wa UswidiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Katarina wa Uswidi (kwa Kiswidi: Katarina Ulfsdotter au Katarina av Vadstena) (1332 hivi - 24 Machi 1381) alikuwa mwanamke wa ukoo bora wa Uswidi ambaye anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sanamu ya Mt. Katarina, Trönö Old Church. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Machi[1].
Katarina wa Uswidi (kwa Kiswidi: Katarina Ulfsdotter au Katarina av Vadstena) (1332 hivi - 24 Machi 1381) alikuwa mwanamke wa ukoo bora wa Uswidi ambaye anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sanamu ya Mt. Katarina, Trönö Old Church. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Machi[1].