Karaman
From Wikipedia, the free encyclopedia
Karaman (zamani uliitwa Larende) ni mji wa kusini ya kati huko nchini Uturuki. Mji upo kaskazini mwa Milima ya Taurus, takriban kilomita 100 kutoka mjini kusini mwa Konya. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Karaman. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadai ya wakazi wanaoishi hapa ilifikia kiwango cha 152,450 ambao wengine 105,834 wanaishi mjini kwa Karaman.[1][2] Wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 3,686.[3]