![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3c/Karaman_districts.png/640px-Karaman_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Karaman
From Wikipedia, the free encyclopedia
Karaman ni jina la mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 9,163. Mji una wakazi wapatao 252,377 (makisio 2006). Kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000, wakazi wa hapa walikuwa kiasi cha 243,210. Mji mkuu wa mkoa huu ni Karaman.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Karaman nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Karaman nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 9,163 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 252,377 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 70 |
Kodi ya eneo: | 0338 |
Tovuti ya Gavana | http://www.karaman.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/karaman |
Funga