Kananga
Kananga (awali Luluabourg au Luluaburg) ndio makao makuu ya mkoa wa Lulua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wakazi ni 1,463,556.Mji uko kwenye mto Lulua, tawimto la mto Kasai. / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kananga (awali Luluabourg au Luluaburg) ndio makao makuu ya mkoa wa Lulua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wakazi ni 1,463,556.[2]
auto
Ukweli wa haraka Country, Mkoa ...
Majiranukta: 5°53′32″S 22°24′10″E | |
Founded: 1884 | |
Country | Democratic Republic of the Congo |
---|---|
Mkoa | Lulua |
Eneo | |
- Jumla | 742,8 km² |
Idadi ya wakazi (2015) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,271,704[1] |
Funga