Kamerun
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kameruni, kirasmi Jamhuri ya Kameruni, ni jamhuri ya muungano katika Afrika ya Magharibi.
Ukweli wa haraka Jamhuri ya Kameruni, Mji mkuu ...
Jamhuri ya Kameruni | |
---|---|
République du Cameroun (Kifaransa) Republic of Cameroon (Kiingereza) | |
Kaulimbiu ya taifa: Paix – Travail – Patrie (Kifaransa) Peace – Work – Fatherland (Kiingereza) "Amani – Kazi – Nchi" | |
Wimbo wa taifa: Chant de Ralliement | |
Mahali pa Kamerun | |
Mji mkuu | Yaunde 3°52′ N 11°31′ E |
Mji mkubwa nchini | Duala 04°03′ N 09°41′ E |
Lugha rasmi | |
Serikali | Jamhuri yenye mdikteta |
• Rais • Waziri Mkuu | Paul Biya Joseph Dion Ngute |
Eneo | |
• Eneo la jumla | km2 475 440[1] |
• Maji (asilimia) | 0.57[1] |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 30 135 732[1] |
Pato la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD bilioni 49.262[2] |
• Kwa kila mtu | 1 721[2] |
Pato halisi la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD bilioni 133.335[2] |
• Kwa kila mtu | USD 4 660[2] |
Maendeleo (2021) | 0.576[3] - wastani |
Sarafu | Faranga ya CFA |
Majira ya saa | UTC+1 (Afrika Magharibi) |
Upande wa magari | Kulia |
Msimbo wa simu | +237 |
Msimbo wa ISO 3166 | CM |
Jina la kikoa | .cm |
Funga
Imepakana na Nijeria, Chadi, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo, Gabon, Gine ya Ikweta na Ghuba ya Gine.
Lugha rasmi na lugha za taifa ni Kifaransa (kinachoongoza kwa zaidi ya asilimia 80) na Kiingereza.