![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9a/Basilissa_Julian.jpg/640px-Basilissa_Julian.jpg&w=640&q=50)
Juliani na Basilisa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Juliani na Basilisa (walifariki Antinoe, Misri, 304 hivi) walikuwa mume na mke. Waliuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9a/Basilissa_Julian.jpg/640px-Basilissa_Julian.jpg)
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Januari[2][3], lakini pia 7 Januari na 9 Januari.