Kifupisho IHS juu ya altare kuu ya Kanisa la Yesu, Roma. Kifupisho hicho kinatumika pia juu ya mavazi na vifaa vya ibada.[1] Kilitokana na jina lake kwa Kigiriki ΙΗΣΟΥΣ, si katika maneno ya KilatiniIesus Hominum Salvator, yaani Yesu Mwokozi wa Binadamu, kama ilivyosemekana.IHS, Montmorency, UfaransaMath 1:18-21 katika nakala ya karne ya 11.IHS, malaika na taji la miba, Hostýn, Ucheki.