From Wikipedia, the free encyclopedia
Jeremy Davies (amezaliwa tar. 8 Oktoba 1969) ni mwigizaji wa filamu na vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa uhusika wake wa katika Lost, The Million Dollar Hotel na Saving Private Ryan.
Davies alizaliwa na jina la Jeremy Davies Boring mjini Traverse City, Michigan. Ni mtoto wa watoto wa mtunzi vitabu Mel Boring; Davies ni jina la utoto la mama'ke.[1] Ana ndugu watatu: Josh, Zachary, na Katy.[2] Wazazi wake walitengana akiwa bado mdogo kabisa, akamwacha Davies akihamia mjini Kansas akiwa na mama'ke mpaka katikati mwa miaka ya 1970, pale alipokuja kufa kwa ugonjwa wa ukoma, na Davies akaenda zake kuishi na baba'ke na mama'ke wa kambo huko mjini Santa Barbara, California kabla haja hamia Iowa mnamo 1986, pale alipomaliza elimu ya juu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.