Jeradi wa Potenza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jeradi wa Potenza (Piacenza, Italia Kaskazini, karne ya 11 - Potenza, Italia Kusini, 1119) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 1111 akawa maarufu kwa miujiza yake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu, ingawa alitangazwa na Papa Kalisti II mwaka uliofuata kifo chake bila maandishi[2].