James Gichuru
From Wikipedia, the free encyclopedia
James Samuel Gichuru (1914–1982) alikuwa mwanasiasa wa Kenya. Aliwahi kuwa waziri wa Fedha,[1] waziri wa ulinzi [2] na mbunge wa zamani wa eneo la Limuru. [3] Akiwa miongoni mwa waanzilishi wa chama cha Kenya African National Union (KANU) mwaka 1960 vile vile mwenyekiti wa muda kwa niaba ya jomo Kenyatta aliyekuwa gerezani) hadi 1961.[4][5][6]