Ijevan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ijevan (kwa Kiarmenia: Իջևան; pia kwa herufi za Kirumi huitwa Idzhevan na Idjevan; zamani Istibulagh, K’arvansara, Karavan Savan, K’aravansaray, Karavansarai, na K’ervansera) ni jiji na mji mkuu wa mkoa wa Tavush huko nchini Armenia. Ipo upande wa kaskazini mwa mkoa. Idadi ya wakazi wa mjini hapa ilikuwa kiasi cha 15 620 mnamo mwaka wa 2008 na kuufanya uwe mji wenye watu wengi sana kwa kanda yake. Takriban kilomita 142 kutoka mji mkuu wa Yerevan.