![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/01/Flag_of_Guinea-Bissau.svg/langsw-640px-Flag_of_Guinea-Bissau.svg.png&w=640&q=50)
Guinea Bisau
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gine-Bisau (Kiingereza: Guinea-Bissau) ni nchi ndogo katika Afrika ya Magharibi.
Ukweli wa haraka Jamhuri ya Gine-Bisau, Mji mkuu na mkubwa nchini ...
Jamhuri ya Gine-Bisau | |
---|---|
República da Guiné-Bissau (Kireno) 𞤘𞤭𞤲𞤫 𞤄𞤭𞤧𞤢𞥄𞤱𞤮 (Kifulani) ߖߌߣߍ ߺ ߓߌߛߊߥߏ߫ (Kimandinka) | |
Kaulimbiu ya taifa: Unidade, Luta, Progresso (Kireno) "Umoja, Harakati, Maendeleo" | |
Wimbo wa taifa: Esta É a Nossa Pátria Bem Amada "Hii ni Nchi Yetu Inayopendwa Sana" | |
![]() Mahali pa Guinea Bisau | |
![]() Ramani ya Guinea Bisau | |
Mji mkuu na mkubwa nchini | Bisau 11°52′ N 15°36′ W |
Lugha rasmi | Kireno |
Funga
Iko mwambaoni kwa Bahari Atlantiki ikipakana na Senegal upande wa kaskazini na Guinea upande wa kusini.