![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/81/OrazioSamacchini-1.jpg/640px-OrazioSamacchini-1.jpg&w=640&q=50)
Feliche Mwafrika
From Wikipedia, the free encyclopedia
Feliche Mwafrika alikuwa askari Mkristo kutoka Mauretania (katika Algeria ya leo).
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/81/OrazioSamacchini-1.jpg/320px-OrazioSamacchini-1.jpg)
Tarehe 12 Julai 303 BK, huko Lodi Vecchio (Lombardia) aliuawa pamoja na Waberberi wenzake Vikta na Nabore[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na wengineo kama mtakatifu mfiadini.