Fatma Othman Ali
From Wikipedia, the free encyclopedia
}} Fatma Othman Ali (alizaliwa 28 Septemba 1950) ni mwanasiasa wa Tanzania ambae amehudumu katika bunge la Tanzania la 9. Ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi yaani CCM .[1]
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Nchi ...
Fatma Ali | |
Amezaliwa | 28 Septemba 1950 Tanzania |
---|---|
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | Mbunge |
Funga