Eustasi wa LuxeuilFrom Wikipedia, the free encyclopedia Eustasi wa Luxeuil (560 hivi – 629 hivi), alikuwa abati wa pili wa Luxeuil kuanzia mwaka 611, akimrithi mwalimu wake Kolumbani, baada ya kuwa mkuu wa chuo cha monasteri. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 2 Aprili[1].
Eustasi wa Luxeuil (560 hivi – 629 hivi), alikuwa abati wa pili wa Luxeuil kuanzia mwaka 611, akimrithi mwalimu wake Kolumbani, baada ya kuwa mkuu wa chuo cha monasteri. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 2 Aprili[1].