Emily Hobhouse
mwanaharakati wakike kutokea uingereza, alikuwa akipigania haki na kuakikisha ustawi juu ya wanawake. / From Wikipedia, the free encyclopedia
Emily Hobhouse (9 Aprili 1860 – 8 Juni 1926) alikuwa mwanaharakati wa kupigania ustawi wa wanawake.[1][2][3] Anatambulika sana kwa kuleta uelewa na umakini kwa jamii ya Uingereza na kufanya mabadiliko sehemu za kazi hasa ndani ya concentration camps ndani ya Afrika Kusini iliyotengenezwa kufungwa na Boer katika vita ya pili ya Makaburu.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Emily Hobhouse | |
Picha ya Emily Hobhouse aliyopigwa na Henry Walter Barnett mnamo 1902 | |
Amezaliwa | kijiji cha St Ive, karibu na Liskeard ndani ya Cornwall |
---|---|
Kazi yake | Mwanaharakati |
Funga