Dolomiti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dolomiti ni safu ya milima iliyo sehemu ya Alpi.
Milima hiyo inapatikana Italia Kaskazini katika wilaya za Belluno, Trento na Bolzano/Bozen.
Ni maarufu kwa madini yake[1] lakini hasa kwa uzuri wake unaovutia watalii wengi.
Mnamo Agosti 2009, UNESCO iliitangaza kuwa urithi wa dunia.