Die Welt
From Wikipedia, the free encyclopedia
Die Welt ni gazeti la kila siku la Ujerumani. Gazeti hili huchapishwa na kampuni ya Axel Springer AG.
Ukweli wa haraka Jina la gazeti, Aina ya gazeti ...
Die Welt | |
---|---|
![]() | |
Jina la gazeti | Die Welt |
Aina ya gazeti | Gazeti la kila siku |
Lilianzishwa | 2 Aprili 1946 |
Eneo la kuchapishwa | *.Berlin *.Hamburg *.Bremen |
Nchi | Ujerumani |
Mwanzilishi | majeshi ya Uingereza |
Mhariri | Thomas Schmid |
Mmiliki | Axel Springer AG |
Makao Makuu ya kampuni | Berlin |
Machapisho husika | *. Welt am Sonntag (jarida la Jumapili) *. Welt Kompakt |
Tovuti | http://www.welt.de |
Funga