![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/48/Puente_de_las_cataratas_Victoria%252C_Zambia-Zimbabue%252C_2018-07-27%252C_DD_10.jpg/640px-Puente_de_las_cataratas_Victoria%252C_Zambia-Zimbabue%252C_2018-07-27%252C_DD_10.jpg&w=640&q=50)
Daraja la Maporomoko ya Victoria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Daraja la Maporomoko ya Victoria huvuka mto Zambezi chini kidogo ya Maporomoko ya Victoria na limejengwa juu ya korongo la pili la maporomoko hayo. Mto huo unaunda mpaka kati ya Zimbabwe na Zambia. Daraja hilo linaunganisha nchi hizo mbili na lina nguzo za mpaka kwenye miisho yote miwili, katika miji ya Victoria Falls, Zimbabwe, na Livingstone, Zambia[1].
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/48/Puente_de_las_cataratas_Victoria%2C_Zambia-Zimbabue%2C_2018-07-27%2C_DD_10.jpg/640px-Puente_de_las_cataratas_Victoria%2C_Zambia-Zimbabue%2C_2018-07-27%2C_DD_10.jpg)