From Wikipedia, the free encyclopedia
Cuiabá ni jina la mji mkuu wa jimbo la Mato Grosso katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 550,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 165 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cuiabá kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Cuiabá | |
Majiranukta: 15°35′45″S 56°05′49″W | |
Nchi | Brazil |
---|---|
Kanda | Central-West |
Jimbo | Mato Grosso |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 542,861 |
Tovuti: www.cuiaba.mt.gov.br |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.